MAPISHI: TAMBI ZA NYAMA YA KUSAGA (2018)
hellos guys...
leo nimewaletea mapishi ya tambi za nyama yakusaga. Huu upishi ni Mtamu balaa..jaribu na unitag ukiandaa..
.................................................
INGRIDIENTS
-Tambi (packet 1)
-Nyama yakusaga 1kg
-Nyanya za kutosha
-Nyanya ya kopo (tomato paste)
-Carrot
-Vitungu Maji/Saum
-Hoho
-Curry powder
..............................................
NI TAG~
instagram @ikamalle
snapchat @ika_malle
................................................
Asanteni sana na endeleni kuangalia video zangu